Wednesday, December 4, 2013

Decoder ambazo zipo sokoni na zinafanya vizuri Tanzania

USIKOSE OFFER KABAMBE NA MOTO MOTO ZA KOMBE LA DUNIA
ni Ving'amuzi ambavyo vina uwezo wa kufungua full premium package ya dstv and more stable bila gharama ya ziada ni only 25MB kwa mwezi za simcard ya 2g unahitaji + dish 3ft yanauzwa 50,000tsh madukani na baada ya kutumia bure mwaka mzima utalipia tena $45 kwa ajili ya mwaka mwengine.


              Usikose kutembelea WEBSITE YETU MPYA                                 www.munjy1.com kwa latest updates and offer

HII BLOG HAITUMIKI TENA IPO KWA REFERENCE TUU
BREAKING NEWS:  nitakuwa nje ya Tanzania kuanzia tarehe 14 August 2014 hadi tarehe 30 August 2014 nitakaporejea, kwa wateja wanaotumia bidhaa zangu mawasiliano yote yafanyike kupitia ile application yetu ya QUAD college chat au whatsapp, na wateja wapya twasiliane kwa whatsapp, 0773044899 tu. Pia kwa wateja wote mauzo yataendelea ila malipo yote yafanyike kwa TIGO PESA kwa Tigo pesa tu 0715044899 ambapo simu hiyo nitamwachia mtu ambae yeye atakuwa na mawasiliano na mimi. Au mustahamili hadi nitakaporejea safari. Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.

NI MUHIMU KUZINGATIA YAFUATAYO:

00. KUANZIA TAREHE 21 MARCH COMMENT YEYOTE ILE LAZIMA NIIFANYIE MODERATION NDIO UIKUTE KATIKA BLOG HII, HII NI KWA USALAMA WETU

1. MUDA WA KAZI NA KUPIGA SIMU NI SAA 1 KAMILI ASUBUHI- SAA 3 KAMILI USIKU.
2. USIWASILIANE NA MIMI KWA WHATSAPP WALA VIBER UNLESS NIKUPE RUHUSA MIMI YA KUFANYA HIVYO.
3. NAMBA YA KUPIGA SIMU NI 0773044899 TU NA SIO ILE YA TIGO
4. TAFADHALI JUWA KUFUATA NA KUTEKELEZA MASHARTI YANGU VYENGINEVYO BAADA YA KUKUUZIA DECODER SITAKUPA MSAADA MWENGINE WOWOTE USIPOWEZA KUFUATA MASHARTI HAYO NA IKIWEZEKANA HATA DECODER SITAKUUZIA.

BREAKING NEWS: QSAT Q11G na Q15G hazitazalishwa TENA (zitaendelea kufanya kazi na kupatiwa account muda wote) kwa sasa ambazo zipo katika production ni Q23G tu pekee ambazo kibei zipo juu zaidi ya QSAT zote. Kwa bei za Q23G pamoja na bei ya jumla soma offer za chini.

SPOT LIGHT:  ZOEZI LA KURENEW ACCOUNT ZA AZSKY G6 LIMEANZA KAMA NILIVYOWAELEZA KATIKA SMS ghar6ama za account kurenew zimetokana na wachina kubadilisha system ya account zao na kwamba kuna world cup soon ili kuingiza account katika AZSKY G6 ni lazima uwe na vifuatavyo 
1. computer ambayo ipo na internet 
2. serial cable RS232 ambayo utaconnect na hiyo computer
3. account tool ambayo ipo hapa CLICK HAPA KUPATA TOOLS ZA G6



MUHIMU KUSOMA NA KUFUATA: Kwa wateja WOTE fungua link hiyo chini kuweza kuiset QSAT yako mpya download files hatua zipo katika format ya pdf zinafunguka kwa adobe ni muhimu kufuate step zote 4 kwa mpangilio CLICK HAPA KUDOWNLOAD SOFTWARE


kwa wateja wapya fungua link hii kupata list ya mafundi wa dish wa kila mkoa ambao nimewathibitisha mimi ni wazoefu na waaminifu 
CLICK HAPA KUPATA LIST YA FUNDI

NEW ARRIIVAL NI NEW MODEL Q23G AMBAYO IMEBORESHWA CHIPSET AMBAYO SASA INA UWEZO WA KUTUMIA 3G MODEM ZA HUAWEI NA ZTE, SIMCARD, LAN (ethernet) NA SIMCARD (gprs 2g), WIFI ANTENNA (optional tsh 20,000)  NA IMEBORESHWA PICHA WAHI SASA KWA BEI YA TSH 230,000 TU UJIONEE MABADILIKO KATIKA QSAT. (MZIGO UMEWASILI TAREHE 17 JUNE TAYARI UPO SOKONI hii ni new model)













QSAT Q15 STOCK IPO NA KUNA OFFER ZA KUMWAGA.
1.  OFFER MAALUM YA Q15G ambazo ni pc20 tu za mwisho ambazo zimewasili Tanzania tarehe 7 August 2014 zitauzwa kwa bei ya OFFER 187,500TSH ni offer ya muda mfupi tu.

2.  OFFER MAALUM QSAT Q15G KWA WALE WA MIKOANI , WATATUMIWA MZIGO KWA EMS (POSTA) MKOA WOWOTE ULE KWA GHARAMA YA 192,000TSH TU KWA DECODER, ILA OFFER HII NI KUANZIA PC 5 NA KUENDELEA.(ina maana pc5 utalipia TSH 960,000 TUUUU) 
tafadhali usiniombe nikupe offer hii kwa kuwa umenunua pc4, bei ya EMS kila pc1 ni 20,000tsh.
WAHI OFFER HII KABAMBE YA MUDA MFUPI.

3.  OFFER MAALUM YA Q23G KWA WATAKAONUNUA MZIGO KWA JUMLA OFFER NI TSH 193,000 KWA PC1 AMBAPO JUMLA NI LAZIMA UNUNUE PC5, PC10, PC15 AU PC20 AU PC25. HAKUNA BEI YA JUMLA KWA PC6 AU 11, IKIWA NA MAANA KILA BOX LINAKUWA NA PC5 UKINUNUA PC 6 ZILE PC5 NDIO UTALIPIA 193,000/pc NA ILE PC1 UTALIPIA 230,000tsh

4. CCCAM ACCOUNT TV1 AMBAZO ZINAFUNGUA CHANNEL ZA DSTV  ZILIOPO UELEKEO  WA  EUTELSAT 36 EAST NI TSH 70,000 MIEZI MITATU, PIA ZINAUZWA KWA JUMLA TSH 55,000/PC MINIMUM NI ACCOUNT 5

KUJUA TOFAUTI YA HIZO DECODER TAFADHALI SOMA CHINI UTAKUTA MAELEZO YA KUTOSHA PAMOJA NA BEI HALISI AMBAZO SIO ZA OFFER
FURAHIA MAISHA NA FAMILIA YAKO NA MARAFIKI ZAKO KWA KUJIPATIA KITU CHENYE UBORA NA BEI POA KUTOKA KWA MUNJY1 PEKEE


LATEST NEWS  (MZIGO UMEKWISHA HADI 28 FEBRUARY 2014): Qsat Q15G ni MPEG4 DVB s2 HD receiver kama Qsat Q11G but hii imetengezwa katika umbo dogo na ina function sawa na Q11G isipokuwa hii imeboreshwa picha yenye ubora na pia imeboreshwa GPRS antenna yake na inaubora kwa kuwa inafungua Channel nyingi upande wa DSTV kuna zaidi ya channel 200 na pia wamelengwa wale watu wenye kipato cha chini na ambao pia wanataka kufanya biashara na wale ambao wana TV nyingi katika majumba yao na hawawezi kununua Q11G kwa ajili ya bei, sasa usijali tena Q15G kutoka kwa munjy1 ndio mkombozi wako. Bei yake itakuwa ni TSH 220,000  (Bei ya OFFER KWA WATAKAOANZA KULIPIA LEO TAREHE 26 DECEMBER HADI 16 JANUARY NI TSH 193,000)ambayo pia inakuja na account ya avatarcam mwaka mzima ambayo kwa sasa ndio ipo juu kwa kuwa haina kuganda hata sekunde 1
Jionee channels zote za uelekeo wa D**V na ALJAZEERA, NILESAT na nyengine nyingi kama Eatv, star tv, citizen, ktn, kbc, ubc, swahili tv. 
 

 












                                          Pia wanaotaka kununua kwa jumla                                                                     wanaruhusiwa kuanzia 
pc25 bei ni 170,000 Kwa maelezo zaidi namba zangu zipo chini hapo namba ya kutuma malipo
0715 044899 
namba ya kuongea na kuuliza

0773 044899 





LATEST UPDATE:
 (OUT OF STOCK)(
Inaonekana Jamvi limeikubali sana Q11G sana na sana maana mzigo siku unaowasili basi siku hiyo hiyo sold out, MZIGO UMEWASILI LEO TAREHE 26 NOVEMBER 2013 sasa mzigo upo wa kutosha ila usije kubahatisha, tafadhali wahi kulipia sasa mapema kuepusha usumbufu na kuja kukosa ya kwako Bila kusahau unakosa uhondo wa LIGI YA ULAYA na comming soon ni FIFA WORLD CUP sasa kuna WOLD CUP QUALIFY) kwa wanaohitajia mnaruhusiwa kulipia kabisa kwa wale ambao munaoniamini tu, mzigo ukiwahi kufika nitawatumia SMS kama kawaida.
Sasa jamvini ni 
QSAT Q11G ni HD DVB S2 MPEG4 receiver ambayo ipo COMPLETE stable hakuna kukata kata hata sekunde 1 na pia hakuna kupungua channel hata sekunde 1, sifa za Q11G inaweza kuunscramble channel kwa kutumia modem zetu za kibongo hizi za airtel, tigo, voda na zantel, pia unaweza kufungua channels kwa kutumia wireless au simcard au LAN ni uamuzi wako, hii ndio tofauti iliyopo baina ya AZSKY G6 na QSAT Q11G. AZSKY ili kutumia modem kwanza kuna modem maalum ambazo hapa kwetu hazipatikani, pia azsky ili uweze kutumia wireless na LAN ni lazima uwe na CCCAM account ndio uweze kutumia hizo njia kuunscramble channel, Qsat Q11G inafungua channel zote za D**V ambazo unaziona hapa 
DSTV CHANNEL LIST AND FREQUENCY 
tofauti na product nyengine. Qsat Q11G inafungua upande wa (D**V zaidi ya channel 200) na (ALJAZEERA channel 10 HD), (NILE SAT na hotbird channel 500).
haina mikwaruzo hata sekunde 1 kwa mfano unaangalia live match basi hata salio likiisha au internet ikaruka inaendelea kuonyesha kwa dakika 3 kwa maana hii ipo stable zaidi.
Qsat Q11G inaweza kukuonyesha tarehe yake ya kuexpire kwa kutumia password maalum ambayo nitawapatia. Qsat Q11G tarehe yake ya mwanzo inaanzia siku ambayo utaanza kuitumia. Qsat Q11G inakuja na account ya mwaka 1 hakuna miezi 6-6 kurenew account ya Qsat Q11G kwa mwaka ni tsh40,000 na bei ya kununua QSAT Q11G ni tsh245,000, angalia picha chini kwa maelezo zaidi na subiri comments za ambao tayari wameshanunua na kuanza kutumia.
Pia 
Qsat Q11G inafungua channel za Tanzania na Kenya, na Uganda ambazo zinapatikana uelekeo wa D**V kama KBC, CITIZEN, UBC
Pia bila ya kusahau 
Qsat Q11G inafungua IPTV hizi ni Tv ambazo zinastream live huhitajii hata dish isipokuwa uwe na internet ya uhakika, mimi binafsi napata channels 128 hapo IPTV na zaidi ya 250 upande wa D**V na zote bila ya chenga, super sports zote, mnet zote, discovery zote,channel O, MTV zote, mytv na nyengine nyingi nahisi nitajaza thread nikizitaja, kumbuka pia zipo HD channels zote.

Wale munaopiga simu kuuliza nini tofauti ya Q11G na Q13G majibu ni haya hapa:-
Q11G (nauza mimi) ni za chuma body yake na pia zina GPRS antenna ambayo ina nguvu kukamata network ya simcard.Q13G ni body ya plastic na sio madhubuti inapopata moto sana, na pia Haina GPRS antenna kwa hiyo ikiwa upo eneo ambalo mtandao wa simcard ni hafifu basi ni shida unless utumie modem au Lan.Ukinunua Qsat Q11G unapata box full.
User Manual
Free 1 year (kuanzaia siku ya kwanza unayoanza kutumia)
Gprs antenna
USB Wireless dongle (20,000tsh).
Remote control
Av cable + HDMI cable





Kwa maelezo zaidi namba zangu zipo chini hapo
namba ya kutuma malipo
0715 044899
 

namba ya kuongea na kuuliza

0773 044899



BREAKING NEWS:
tahadhari kwa wote mulonunua G6 ukiwa eneo lako lina shida ya network usije ukajaribu kuchomoa antenna ya G6 ile original na kuweka nyengine kubwa zaidi au external, utakitoa muhanga GPRS module board na utaungana na muhanga 1 ambae tayari yashamkuta na nishamnunulia hicho kifaa cha kubadilisha, na pia utaungana na muhanga mimi munjy1 ambae sijamuamini kama kauwa board kwa kubadili antenna nami nikajaribu pia nimeungane nae sasa sote ni muhanga.



WOTE ZINGATIA hizi bei za kurenew account za azsky G6 ni kwa wale wateja walonunua bidhaa kwangu tu, record za serial numbers zote ninazo. Kumbuka ukinunua G6 kwangu inakuja na miezi 6 bure na ikimaliza miezi 6 ya mwanzo nakupa tena software ya miezi 6 bure na baada ya hapo kila miezi 6 ni tsh 45,000 hautapata hizi bei kwa mtu yeyote yule ila kwa munjy1


WALE AMBAO MUNATUMIA AZSKY G6 DOWNLOAD HII FILE IMEANDIKWA BACKUP kama ukiwa unataka kupata channel za kibongo na za D**V hii file ni preset extract kwa kutumia winrar isave katika flash disc, chomeka katika G6 yako, bonyeza menu ktk remote yako chagua system setting - upgrade and backup-upgrade by usb-tafuta ile file ya backup bonyeza OK na YES. Baada ya hapo utapata hizo channels nilozitaja.Pia unaweza kudownload hii file moja kwa moja na kuisava katika flash bila ya kufanya extract kupitia link hii hapa
https://drive.google.com/folderview?...0k&usp=sharing



INTRODUCTION TO G6:
AZSKY G6 ni decoder ambayo pia ni dongle DVB S2 MPEG 4 HDTV receiver ambayo hutumika kufungua channels za kulipia ambazo utazipata bure kabisa kupitia kifaa hiki cha AZSKY G6.
Ili AZSKY G6 ifanye kazi unahitaji G6, simcard yenye angalau 25mb kwa mwezi au salio na dish (fta,d**v,aljazeera sports+,abudhabi,mytv,canalsat au dish jengine linaofanana na hayo na LNB ya KU, au KU HD pia C band kwa baadhi ya dish) dish litakapoelekezwa ndipo channel utakazoziona.
Kwa mfano ukiweka dish la FTA ukaelekeza directin ya D**V utaona channel za D**V na za East africa kama TBC na ITV, EATV, STAR TV na nyenginezo kwa kuweka frequency zao na kuscan channels.

Pia G6 ina switch nyuma amabayo unaweza kuweka TWIN ikajitosheleza au ukaweka sehemu ya GPRS na ukaitumia kama dongle kuconnect na receiver nyengine ya FTA au ukaweka katika SAT na kuitumia G6 kama FTA receiver kwa dongles nyengine au bila dongle au simcard na kuangalia FTA channels.

KAMA UNAHITAJI KUONA ABUDHABI, NA ALJAZEERA SPORTS NA D**V KWA GHARAMA AMBAYO KILA MTANZANIA INAIMUDU BASI NUNUA KIFAA HIKI AU DECODER HII YA AZSKY G6 KWANGU.
Hichi kifaa nakupa GUERENTEE hakiwezi kublokiwa na azsky sasa ipo kwa miaka minne tofauti na wengine kina Xman ambao wakitoa model mpya huwa hawatowi software kwa zile za zamani, mfano kuna xman G8 ikitoka G9 basi G8 haitofanya kazi tena kama zilivyo xman dongle za zamani sahivi hazifanyi kazi tena, Hawk 777 classic na nyengine nyingi
UKINUNUA G6 NDANI YA BOX KUNA:1. azsky G6 DVB s2 HD MPEG4 RECEIVER1. user manual
1. gprs antenna
1. charger
1. hdmi cable
1. remote contoll KAMA PICHA INAVYOONYESHA HAPO



 
 
 
Hii post ilianzia Jamii forums unaweza kupitia kumbukumbu kupitia link hii na kupata ufafanuzi zaidi na majibu ya maswali mengi ambayo watu waliulizana na kujibiwa http://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/492159-dstv-aljazeera-sports-canal-sat-mytv-kwa-kutumia-azskyg2.html AMBAYO NIMEOMBA IFUTWE KWA SABABU ZA KIUSALAMA

301 comments:

  1. karibuni wote katika blog yangu ambayo haina vitisho kutoka dstv na kwa mwengine yeyote asiyejuwa sheria, kiukweli kabisa kama hivi vitu sio halali basi vingefungiwa viwanda nchini China vinavotengeza hizi receiver ila ukweli halisi hizi receiver kutumia na kuuza ni halali kabisa

    ReplyDelete
  2. Afadhali ulivyo hama. Maana kule wanga wamekuwa wengi. Naomba msaada jinsi ya kupata youporn maana kwenye menu sijaikuta naikuta, news, youtube, dln, game n.k

    ReplyDelete
    Replies
    1. unabonyeza MENU, unakwenda katika multimedia unabonyeza OK utaingia katika NETWORK ukichaingia pale unapoiona youtube bonyeza PLAY katika remote then bonyeza 1513 utaona youporn inatokea

      Delete
    2. Nimejaribu, inakubali ila inataka internet faster. Kwa chip nyuma kule haikubali utumie wireless au WLAN ndio inakubali....
      Thanks!

      Delete
  3. Afadhali kaka tupo huku. Mkuu Munjy SS5ni na SS5 vipi au ndo zinarekebishwa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama unazungumzia katika QSAT ss1-9 zote zipo hewani including za SSni zote

      Delete
    2. Nazungumzia G6 mkuu

      Delete
  4. Bora kabisa huku itakuwa poa kabisa

    ReplyDelete
  5. Watuache tujilie vyetuu....

    ReplyDelete
    Replies
    1. huku hatukeri mtu na wao waje wacomment tu na wakicomment upuuzi nazifuta, wakawafungie wachina viwanda, hawawezi sababu hakuna sheria, na huku TZ ndio same thing hakuna sheria iayowaruhusu kufanya chochote

      Delete
  6. Mkuu mie niko safari ile update ya qsat sijaifanya kulingana na maelezo yako lazima kuifanya au naweza kuacha kufanya

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio lazima tena sababu ile ROM ina matatizo so watatoa rom mpya baada ya siku 15 itakuwa bomba sana

      Delete
  7. Habari jamani. Mm nahitaji mnijuze kati ya hivyo vyote ni kipi bora, naweza tumia nikapata picha bila kuganda. Bei sii tatizo muhimu ubora tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. inategemea unataka kutumia kwa muelekeo upi wa dish kama ni D**V basi Q11G na Q15G ndio chaguo amblo kwa sasa haigandi lakini ushauri wa wataalamu wanasema ni bora kuwa na 2 za company tofauti, mfano G6 na Q15G kwakuwa haziwezi kuganda zote kwa wakati mmoja. ila pia Q11G na Q15G tofauti yake ni ukubwa wa kifaa na bei tu ila zinapiga kazi sawa na zina ubora sawa na Q15G imeboreshwa antenna yake ya gprs.

      Delete
  8. Mkuu Munjy ishu hapa nataka kujua kati ya Q sat 11G na 15G ipi ni nzuri kuliko nyingine pesa si tatizo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Q15G itakuwa bora sababu ni new model na ni maboresho ya Q11G katika picha na pia GPRS board yake

      Delete
  9. Munjy1 Poa sana kaka sasa wale wakuda inabidi kuwachuja tuu kama wanataka kutufuata fuata. sasa mimi nimfuata maelekezo ya rom mpya je kuna haja ya kurudia rom ya zamani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. unaweza kurudi ya zamani, but baada ya siku 14 kuna rom mpya itatoka na nitaiweka pale katika link

      Delete
  10. In-charge Munjy hivi nna swali moja, kama nna nunua QSAT Q15G huku pembeni nikiwa na QSAT Q11G sasa wakati nikitazama Q11G ikakata nikichomeka kaka yake (Q15G) itakuwa hewani?

    nikiwa na maana je hazikati zote kwa wakati mmoja?

    ReplyDelete
    Replies
    1. sijawa na uhakika juu ya hilo ila nahisi zinaweza kukata zote kwa kuwa zote zinatumia avatarcam account

      Delete
    2. SO kuna kama ulivyo shauri hapo inabidi kuwa nazo mbili ili ikikata moja nyingine inakuwa backup na unaendelea kuona so una shauri aina gani ndugu yangu?

      Delete
    3. nashauri G6 na Q15G au G6 na Q11G

      Delete
    4. vipi kwako hii G6 bado inapatikana kwenye stock?

      Delete
  11. Huku ndo poa, tujulishane na kubadilishana uzoefu kwa uhuru kabisa. Safi sana Munjy kwa ubunifu huu.

    ReplyDelete
  12. Hizi cheneli za Swahili, citzen, na hizi za hd. Kwa nn hazionyeshi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. walisema zitarudi leo kama unatumia rom ya zamani ila sijahakikisha bado

      Delete
  13. Munjy eeeh, usichoke kufanya utafiti, vipi kuhusu hii kitu Q-sat Q17.

    pia tufungue jinsi ya kupata ,google map,yahoo weather,etc. maana naona kama kuna namba za kuingia huko. Tufungue uelewa kwa kutuwekea code namba zote ili tuvinjari wenyewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Q17 bado haijatoka na itakapotoka itakuwa ni kwa ajili ya market ya north america na sio africa

      Delete
  14. Naomba maelekezo jinsi ya kupata hizi IPTV Channels kwenye Qsat 11G. Na jinsi ya kufungua hizi N32 Games, Yapoo, Picasa, Google map na Yahoo Weather.

    ReplyDelete
    Replies
    1. lazima uwe na high speed internet kama modem au wireless au lan yenye speed, kwa maelezo zaidi soma USER MANUAL ambayo nimeinclude uliponunua Q11G

      Delete
  15. Habari zenu wadau,

    Mimi nna swali moja ambalo naombeni kidogo kama kuna mtu ana uelewa anielekeze tofauti kati Dongle na Receiver.

    Ahsante!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Receiver ni kifaa cha kupokea hizo channel kutoka katika dish, na dongle ni kifaa kinachofungua scramble channels, ila hizi Q11G, Q15G na G6 ni combination of BOTH dongle and receiver. Hayo ni majibu ya ufupisho

      Delete
    2. KIASI fulani umenifumbua macho maana kuna vichwa vya habari niliona ambavyo vilikuwa vina elezea kuwa kuna Dongle ambazo unaweza kuchomeka kwenye aina za receiver na kufungua channels.

      kwa maelekezo yako mafupi nimeelewa,
      Nashukuru.

      Delete
  16. Safi Munjy1! Nataka kujua kwanini G6 haitulii kama QSAT hali ya kuwa yenyewe ni more expensive than G6?

    Natanguliza shukrani!

    ReplyDelete
    Replies
    1. G6 sahivi imetulia, sababu inayofanya isitulie ni kwamba server zake zipo Nigeria na ni Africa so umeme ukipungua kasi au ukizima server zinatake long time to reboot thats how the problem inatokea katika G6 zinaganda, Qsat server zipo Korea na hakuna tatizo la umeme kama africa

      Delete
  17. Maisha matamu ukiwa na g6. Asante Munjy1.

    ReplyDelete
  18. G6 kwa mwezi huu 12 imenifurahisha kuliko hata QSAT.

    ReplyDelete
  19. Replies
    1. ni kweli G6 imetulia sana mwezi huu utadhani sio wao walokuwa wakiganda

      Delete
  20. mkuu munjy1 mimi naishi mikoani ambako net ni 2g je ni mashine gani kati ya Q6. Q11 NA HIYO MPYA Q15 ITANIFAA

    ReplyDelete
    Replies
    1. zote zinakufaa sababu hizi zinahitaji 2g network

      Delete
  21. sijui mbona comment yangu katolewa. bado naomba software mpya ya q13g

    ReplyDelete
    Replies
    1. mkuu software ya Q13G mtafute alokuuzia hiyo decoder, mimi siuzi Q13G na software siwezi kukupa

      Delete
  22. Mkuu Munjy1 kwenye youporn ina niambia fail to catch a message sijui tatizo ni nini

    ReplyDelete
    Replies
    1. inaweza kuwa tatizo ni internet unayotumia haina speed ya kutosha, hahaha

      Delete
  23. Replies
    1. sina sahivi out of stock kuna G6 tu na Q15 zinawasili karibuni. Q15 ndio latest katika production so kiwanda kinakuwa hakizalishi model 2 kwa wakati 1 isipokuwa on special request.

      Delete
  24. Kwa sasa naona Qsat inakwamakwama baadhi ya chanel tofauti na G6 haisumbui kama mwanzo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo la kukwama kwa Qsat limekwisha ilikuwa ni marekebisho ya muda mfupi tu. Sasa iko poa

      Delete
  25. Jaman ktk q11 na g6 chanel gan? inaonyesha mambo ye2 yale I mean ya age 18+? samahan lkn!

    ReplyDelete
  26. Ninachojua mm kwenye uelekeo wa dstv hayo mambo hamna, labda ubadili uelekeo. Nafikiri wapo wataalamu watakuambia ni uelekeo gani uelekeze dish lako.

    ReplyDelete
  27. DA KWEL MAANA NINA SIKU 3 NAVIZIA CHANEL HIZO NATOKA HOLA SAA 6 MPAKA 11 ASUBUH BILA BILA DA POWA NGOJA TUSUBIRI WATAALAMU WA SETTING.

    ReplyDelete
    Replies
    1. tafuta kupitia youporn utazipata katika multimedia.

      Delete
    2. Hapana usiselect youtube. Hapo hapo tu unapoiona youtube na weather na hizo nyengine just bonyeza play then bonyeza 1513 utapokuwa unaingiza hakutakuwa na ishara yeyote ile mpaka umalize kuingiza namba ndio utaiona youporn imetokeza

      Delete
    3. Duh we ni nouma, haya yote umejifunzia wapi?

      Delete
  28. Imekuwa habari njema kuhamia kwenye nyumba yako na kutokana na adha ya kupanga.. Mimi nina Azsky G2 ila hakifanyi kazi kina reboot tu, natamani kirudi hewani nini kifanyike? Msaada please

    ReplyDelete
  29. Replies
    1. Nadhani jibu lanihusu mimi.. ni software tu au pamoja na account kwa ajili ya kuactivate?

      Delete
  30. Safi sanaa, wenzangu leo nimekutana uso kwa uso na conabal, dah kumbe watu wa Jf n wastaarabu sana, jamaa yupo peace sana, nampa big up sana, nashukuru kwa kuniletea mzigo wangu toka kwa @munjy1, by @Ta kamugisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Funguka zaidi maana hata jina/JF name yako umeficha, tuelezeye huyo conabal yuko wapi?

      Delete
  31. Mimi nimesha kutana na Munjy1 nimefika hadi kwake na pia tukapiga misele kidogo, lakini kitu kimoja tu Munjy1 ni mchoyo bana nilimuambia anitafutie kitoto cha kimwera akasema duu hutawaweza , its joks jamaa ni poa kabisa,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msina Jr. Habari za huko ulipo? Karibu tena nyumbani.

      Delete
  32. Thanks God QSAT imetulia mbaya yaani hadi HDs zote zimerudi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hizi taarifa niliwapa mabla kuwa channel zote zitarudi muwe wastahamilivu sasa nadhsni kote tupo powa mpaka G6

      Delete
  33. leo qsat hadi ntv, ktn yafungua tu

    ReplyDelete
  34. ni kweli zimerudi nyingi labda kwa G6 bado ss 5 lakini inafurahisha now.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hizo channel zote hadi katika G6 zisharudi uliza wenzako

      Delete
  35. Hadi G6 inafungua HD na ntv? nipo mkoani kwa muda yaani natamani nirudi Dar. naukosa uhondo huu.

    ReplyDelete
  36. mimi Nadhani kwa usalama zaidi tuwe tuna register na kulogin ili kuwa na uhuru na usalama zaidi ni watu tu wakuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usiwe na wasi mkuu juu ya hilo. Ikiwa zitakuwa kura za wengi watu lazima wawe registered naweza kuweka hivyo ila wacha tuwasikilize na wadau wengine.

      Delete
    2. Kaka Munjy1 kuna jamaa yangu nimempa namba zako anataka kidude.
      Kasema umemweleza una Q15 na utakuwa mjini kuanzia J4.
      Naomba msaidie kumuunganisha na mfungaji mzuri wa dish ili amsaidie kumfungia vizuri.
      Natanguliza shukrani

      Delete
    3. Mpe hii blog atakuta list ya mafundi nimeweka

      Delete
    4. Nimemwambia. Tabu yake si mwenyeji sana na internet hizi. Ntamuongoza kaka.
      Shukrani

      Delete
  37. Na unga hoja ya huyo mdau ya register na login

    ReplyDelete
  38. Hd zimerudi, halafu zikatoweka tena

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yah ni kweli HD zimekula kona tena. Ila inaonekana signal za HD ziko chini sana. Kuna mdau mmoja alisema hata wanaopata kihalali HD zinasumbua, sijui kwasasa kwao hali ikoje?

      Delete
    2. Mimi now inakwenda wiki HDs hazigomi wala nini hali ikiwa hata signal hazifiki 64 lkn inafungu, wiki hizi mbili ni imepiga mzigo mpaka raha yaani.

      Delete
  39. DA MPAKA STAR KTK Q DA KWELI NOMA HD ZINAPIGA MZIGO NI NOMA

    ReplyDelete
  40. G6 oyee!
    Swahili channel oyee

    ReplyDelete
  41. Itakuwa bora kama zimerudi, star tv,swahili na hizo za HD

    ReplyDelete
  42. Itapendeza kama Swahili na HD channels zimerudi.

    ReplyDelete
  43. kaka munjy kwene packing list ya q sat 11g ume include usb wireless dongle.. mbona mimi hcho kitu sikupata?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkuu angalia tena vizuri USB Wireless dongle (20,000tsh).

      Delete
    2. YEAH!
      hata mimi nilipenda kujua ina faida gani kwetu mkuu?

      Delete
    3. unapokuwa na WI-FI nyumbani huna haja ya kutumia simcard badala yake utatumia hiyo usb kuweza kujiunga na hiyo WI-FI

      Delete
  44. kumbe niltakiwa kuinunua! vp sasa hyo kaz yake n ipi kwene ricva?

    ReplyDelete
  45. Swahili na hd zimerudi kwenye G6 na siyo kwenye Qsat, kwenye Qsate zilizo rudi ni Discory HD na m-net premear HD. Swahili na nyingine za hd hazionyeshi kwenye Qsat.

    ReplyDelete
  46. HD GANI UNAZOZUNGUMZIA ? ZA S S*PORT ZIP KTK G6 ILA NAONA 1 UP TO 9 FRESH USIPIME.

    ReplyDelete
  47. Kuna hiz SS1HD, SS2HD, SS3HD, M-net Hd,Discovery Hd, idadi.za chaneli za HD zipo kama kumi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Leo naona kama channel zimepungua sana kwenye G6, au kwangu tu?

      Delete
  48. DA MPAKA TELEMUNDO MAX 2 KTK G6 YAAN KUNOGA ILE MBAYA

    ReplyDelete
  49. Yaani channel zimekuwa nyingi ajabu! Ila tuwe wawazi, unajua tunapenda sana kulalamika, ila kiukweli ni channel ngapi unaangalia kwa siku hata kama zitakuwa zinaonyesha zote? Sana sana utaangalia 3 mpaka 5, ila sasa tunavyolalamika mara ile haionekani, mara ile imekuwaje wakati hata huiangalii bali umeipitia kwa bahati mbaya! Tushukuru hata kwa hiki kidogo na tucpende kulalamika bila mpango, by Ta Kamugisha nkiwa sebule naangalia q sat na pembeni nkiwa na G6, maisha ndo aya Big Up @munjy1

    ReplyDelete
  50. .Mwendo mdundo wana tz bora huku kule wengine walikuwa mawakala wa dstv walikuwa wanakomaa mpaka mishipa ilikuwa inawauma eti oh tafuteni dstv original bila hata aibu

    ReplyDelete
  51. Hata kwangu g6 yangu imegoma kuonesha ss1 hadi ss9. Sijui ninyi wadau.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tayari G6 imesharudi hewani ilikuwa kuna server maintanance.

      Delete
  52. G 6 imekata tena mimi sioni kitu

    ReplyDelete
  53. Ni kweli jana G6 ilikuwa inakatakata jana saa 12.30 jioni wamekuja kuleta saa tano usiku

    ReplyDelete
  54. Nataka kulipia siku ya Ijumaa nambie kama ntapata mzigo

    ReplyDelete
    Replies
    1. hii tabia siipendi chief, nimeweka namba zangu za simu tafadhali wasiliana kwa hizo namba na sio hapa.
      Hapa ni kupeana taarifa na ujuzi tu na sio maongeze ya chemba

      Delete
  55. Msaada wadau, nimejaribu kuunga gsat 15g lakini inagoma kufungua scrambed channel. Nimejaribu kuweka preference gprs lakini bado zinagoma ingawa nimejaribu line zingine lakini sijafanikiwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Matunyegule, umeshafanikiwa sasa kuunganisha Qsat?

      Delete
  56. Huyu jamaa ana copy paste blog ya lemmy morgan

    ReplyDelete
  57. ukitaka dstv angalau uhakika wa kama dstv ni cccam peke haya matakataka ya kichina cheche uwezi maliza mwaka coz now qsat imeanza kukatakata si sana bt kuja kufika feb itakuwa majanga ndio maana wanatoa model nyingi kama wenda wazimu coz wanataka pesa fasta fasta

    ReplyDelete
    Replies
    1. nasema hivi msiongee vitu msivovijua, hivi unajuwa kama CCCAM sahivi haipo stable na ndio maana hakuna hata reseller 1 anaeuza dunia nzima? kama unabisha tafuta hao wanaouza, walokuwa nazo wanauza kwa siri sababu hao wenye kutengeza cccam ndio wamezuia kuuza,

      Delete
    2. Qsat sahivi imeweka limit kila pc1000 zinaendeshwa na server 1 na ndio maana ikawa stable kuliko receiver yeyote duniani na AZSKY nao ndio washaanza zoezi hilo la Qsat kulimit server na ndio maana pia zikawa stable mwezi huu wote, kaa ukijuwa Qsat sahivi hawazalishi decoder ila kwa specil order na ndio ukaaona zinapanda bei kila siku, sasa wewe kaa endelea kupotosha watu kama UMETUMWA sisi tushakuelewa, na baada ya muda mfupi tu nitaweka haruhusiwi mtu kucomment mpaka ajisali maana naona unaandika upuuzi tu.

      Delete
  58. kwa sasa nimefanikiwa mana Qsat 15g inaonesha vizuri mno. Asante Munjy1

    ReplyDelete
    Replies
    1. mkuu ni kweli ubora wa picha ya Q15G ni bombaaa kushinda maelezo, hata mimi nimepokea ya kwangu na kuifunga leo yaani dah, huyu munjy1 ni nouuma hana kuongopa

      Delete
  59. Jamani wakuu naombeni msaada hivi kwa muda huu (12:09AM) hivi ni mimi tu au mpo na wenzangu Qsat pia imewabana mbavu, maana sio kawaida yake?

    ReplyDelete
  60. imebana kote lakini tumeamia G6 maisha yanasonga.

    ReplyDelete
  61. Kha! Huku G6 baba sina basi majanga hata mechi sioni.... Ngoja nivute G6 at least iwe backup ya siku kama hizi.

    ReplyDelete
  62. MBONA MI KWA Q NIMEANGALIA MPIRA JANA MWANZO MWISHO INATAKIWA UWE UNABADILI LINE YA SIMU IKIGANDA MOJA WEKA NYINGINE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nna line zote za kitandao ya simu hapa bongo na zote zina hela na imegoma, kuamka leo hadi natoka nyumbani naenda mihamgaikoni ni kimya sasa sijui kuna meintanance labda ina endelea sijui ila ndio sipati hata channel moja zaidi tu zile za FTA.

      Mwenye ufahamu naomba tuelezane nini tatizo.

      Delete
    2. mkuu Qsat zote hakuna ilokata hata 1, rejea step 2 kuactivate simcard na step 3 kuactivate account halafu tupe majibu hapa jamvini

      Delete
    3. SAWA MKUU!
      nita rejea kufanya hivyo kisha nitakupa majibu MKUU.

      Delete
  63. Nahitaji receiver nipo dar..nitapataje

    ReplyDelete

  64. Jamani ferrari server ndio ya nini

    ReplyDelete
  65. wabongo maandazi sana tunauziwa matakataka ya china jamaa ye kwake kafunga dstv halali anaenjoey na mke wake coz decorder moja tu inamtosha kulipa mwezi mzima cc tunaangaika na vikopo hv wakati mpemba anakula raha na dstv halali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dstv halali kila mtu anaitamani. Kikwazo ni gharama kubwa kuipata. Kingine si wote wenye vipato vya uhakika wa kuweza kulipia dstv fully package every month. Hii ndio sababu wengi wamekimbilia huu uchochoro. In short wabongo sio maandazi bali wanaangalia huduma itolewayo na gharama wanazolipa. Mimi mwenyewe ni dstv member toka long time, kiukweli bado ni very expensive, kwakua ili ufaidi ni lazima ulipie fully package. Hizi packages nyingine za bei ndogo hazina ladha wengi waipendayo. Kwahiyo basi kama ni mdau wa dstv waambie wajaribu kucheki zao maana ndio zinafanya wachina washine na hivi ving'amuzi vyao haramu.

      Delete
    2. decooder ya D**V sijawahi hata kutumia na wala sitatumia, maana ili upate channel zote unazopata katika decoder ninazouza mie, basi kiuhalali bei itakuwa ni hivi decoder yao ya HD bei 520,000 unapata mwezi 1 bure baada ya hapo unalipia 180,000 kwa miezi 11 sawa na 1,980,000 ukijumlisha na bei ya decoder kwa mwaka utatumia TSH 2.5 million, wakati ya kwangu 220,000 unatumia mwaka mzima bila gharama nyengine zaidi ya kununua 25mb za simcard na kama unatumia simcard ya zantel epic nation unapata 50mb bure kila mmwezi.
      Labda niwe nimerogwa ndio nikanunue decoder ya D**V
      Na ukilinganisha hizo bei basi utakuta hii decoder yangu ukitumia siku 1 tu basi tayari ishalipa maana hiyo bei yangu hata decoder tupu ya D**V hujapata.

      Delete
  66. Mkuu naomba uweke utaratibu wa kujisajiri kwenye blog yako mana jamaa hawawezi kuja kutukana huku ilihali tumewahama kwenye jf.

    ReplyDelete
  67. Replies
    1. Mkuu mimi sizipati kabisa. Hizo chache za HD uonazo ni zipi?

      Delete
    2. Nilikuwa namaanisha haZipatikani kabisa

      Delete
  68. Kama sukari na chai ni sawa na Qsat 15G na Azsky G6. Yaani ukiwa navyo vyote hautapitwa Hata sekunde moja. Asante sana Munjy1. Sijawahi kujutia

    ReplyDelete
  69. Wakuu naomba ufafanuzi katika hili. Siku za hivi karibuni nime-experience tatizo lifuatalo kwenye Qsat G11 na G6, wakati wa mchana huwa signal zinapotea kabisa au zinakua ziko kidogo sana kiasi kwamba channels zinakua hazishiki kabisa au zinakua zinascrach/katakata kiasi ambacho huwezi kuangalia tv. Lakini wakati wa jioni, usiku na asubuhi hili tatizo linakua halipo. Sasa nashindwa kuelewa tatio hasa ni kitu gani? Msaada tafadhali.

    ReplyDelete
  70. Mbona kwangu G6 imebuma? Hionyeshi kabisa lakini Qsat11 ina chapa mzigo kama kawaida. Tatizo ni nini?

    ReplyDelete
  71. Jamani nipeni fed-back za QSAT 11G muda huu vipi mi kwangu siisomi...😭😭😭

    ReplyDelete
  72. G11g na g15g hazipatikani tangu saa 8 mchana, tatizo nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah! Nilijua pekee yangu yaani, mi hadi now sisomi

      Delete
    2. Kila Qsat inakuwa na serial numbers na zile Q15 na Q11 ambazo serial namba zake zinakaribiana ndizo zilokata na sio zote kutokana kulikuwa na tatizo katika baadhi ya Q server ila wako watu ambao hazikukata kabisaaa. Kuna serial zinazoanzi na M, N, Q na G na nyengine nyingi so baadhi ndio zilokata maana kila 1000 zinaendeshwa na server 1, sikuweza kuwapa taarifa kamili kwa sms sababu nilikuwa nje ya mji na network ilikuwa mbovu.

      Delete
  73. Ilikata jana, ila kwa leo mambo mazuri

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ilirudi jana usiku majira ya saa 3 usiku ambako mafundi waliniambia itarudi saa 5 usiku.

      Delete
  74. Asante kwa taarifa. Mie mwenyewe jana nilipata shida kidogo kupata channels. Zilirudi usiu sana

    ReplyDelete
  75. habar wadau...hizi usb port kwenye QSAT zinacheza format zote za muv?? maana nisije ingia hasara ya kununua deki na QSAT wakat naweza itumia QSAT kwa mambo yote...nawasilisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. nyingi zinaweza kusoma ila sio zote, uhakika zaidi upo kwenye kijitabu kile (manual book)

      Delete
  76. Wadau nna swali moja. Je kuna uwezekano wa kuSearch channel moja tu ambayo kwa mfano hujaipata kwenye list yako na kuiSave....

    Maana sitaki kufanya full search sababu sitaki kupoteza favorites channel zangu zilizopo.

    Mwenye kufahamu naomba msaada tafadhali.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inawezekana, hasa kwa kutumia manual scan. Cha msingi, ujue frequency za hio channel, pili ujue iwapo uelekeo wa satellite inayohost hiyo channel ipo sawa na uelekeo wa dish lako.

      Delete
  77. Hiyo software ya loc umeiweka sehemu gani

    ReplyDelete
    Replies
    1. MUHIMU KUSOMA NA KUFUATA: Kwa wateja Wapya fungua link hiyo chini kuweza kuiset Qsat Q11G na Q15G yako mpya download file ya, jinsi ya kuactivate simcard gprs, jinsi ya kuactivate account na jinsi ya kuscan channels, hatua zipo katika format ya pdf zinafunguka kwa adobe CLICK HAPA KUDOWNLOAD SOFTWARE

      Delete
  78. Hiyo software mpya kwa local tv na nyingine iko wapi

    ReplyDelete
  79. Mkuu ni lazima kufanya upgrade au naweza baki ktk ROM ya zamani maana hizo channels za star,citizen, kbc,swahili,WBS nk nilizipata baada ya kufanya blind scan na pili je km nikifanya upgrade nini kitaongezeka tofauti na hizo channels

    ReplyDelete
    Replies
    1. He Mr. Kashombo nikifanya blind scan na ikimaliza ikaniuliza nisave searched channel, so ita replace au over-right zile zilizokuwa mwanzo. Maana sitaki kupoteza zilizopo

      Delete
  80. Kwenye q11g yangu haikubali line ingine zaid ya voda.. Na moderm ni hola kabisa hamna kitu....naombeni msaada..

    ReplyDelete
    Replies
    1. hapana bwana ukiona hivyo labda ujaweka tick pale kwenye kibox cha autolink. na mfano unapoweka line nyingine hata uki configure line pia ina kataa?

      Delete
  81. HD zote zinapiga vizuri mno kwenye Q15g

    ReplyDelete
  82. Qsat 11 yangu leo kutwa nzima haionyeshi kitu, sijui ni kwangu tu au na kwa wengine ni hivyo hivyo

    ReplyDelete
  83. kaka muny1 kama nmekuelewa vzur....kuanzia sasa aljazeera sports hazitapatikana tena kwa East africa?

    ReplyDelete
  84. Q11 na Q15 hazionyeshi tangu jana mchana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Labda ni baadhi ya maeneo, huku Rock City Qsat ina onyesha ila kuganda ganda kumezidi tangu 31/12/2013. Kila baada ya dk 3 inaganda dk 1.

      Delete
    2. ni kweli kulikuwa na tatizo katika server sababu pia kuanzia hiyo tarehe walikuwa na wao hawapo kazini, ila hilo tatizo la kuganda leo limekwisha na halipo tena kabisaaa

      Delete
    3. Cha ajabu sasa hivi quality ya picha imeongezeka sana kwenye Qsat. Hata Star TV iliyokuwa na quality mbovu sasa hivi afadhali japo sometimes rangi ya kijani imezidi sana!

      Delete
  85. ALJAZEERA SPORTSB inaelekea wamepunguza signal, haifiki East Africa.

    ReplyDelete
  86. Q11 bado kuna baadhi ya channels kila wakati laZima igande, hii sio kawaida maana hata jana kama SS3 ilikuwa haipatikani kabisa.
    Shukrani kwa G6 imepiga kazi vizuri tu kwenye channels ambazo zilikuwa hazioneshi kwenye Q11.

    ReplyDelete
    Replies
    1. qsat 11 inaganda balaa mpaka sasa. g6 vipi?

      Delete
    2. Ni kweli baadhi ya Channel zinaganda muda mrefu kuliko zinapokuwa zinaonyesha. Munjy1 waambie wachina waboreshe customer care.

      Delete
  87. Ni kweli signal za aljazeera zitakuwa zimepungua kwa east afr hasa baada ya 1 Jan 14 kuwa transformed to beiN sports lkn dish la ft 8 inapatikana vizuri tu

    ReplyDelete
  88. Naomba nitoe ushuhuda wangu kuhusu huduma za Q11G na Q15G. Kiukweli ni product za kichina perse. Quality ya huduma zao ni ya kichina meaning very hovyo. Hakuna uhakika wa kupata streaming ya picha. Mimi leo naenda siku ya 3 hakuna kitu. I always hate anything made in China. Technology za kichina ni za kiujima. Yaani inschefua. Cheap is expensive. Niliyemkera, no apology, aliyenielewa namshukuru.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi nilifikiri ni kwangu tu labda manetwork kumbe wengi qsat 15 inaconnect lkn ku-unscramble totally hamna Munjy1 atujuze nini kulikoni

      Delete
    2. Hakuna kitu ambacho sikipendi kama mtu kuwa na tatizo siku 1 tu na akaponda product nzima, jirekebishe mkuu before sijakuban forever

      Delete
    3. HUYO jamaa hapo juu kwa ujumbe wake huo nitafurahi kama ataachana nayo na kwenda kununua D**V.

      kila siku unakula dodo leo umepewa kogwa taflani za nini?
      kuwa mvumilivu.

      Delete
  89. Kwa sasa qsat ni balaa sijui kuna tatizo gani

    ReplyDelete
  90. Kwa sasa qsat ni balaa sijui kuna tatizo gani

    ReplyDelete
  91. Hili tatizo naona limetukumba wengi wenye Qsat 11. Ila kwenye G6 inapiga kazi kama kawaida.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Niliwatumia sms wote kuwa server zimekuwa overloaded leo so kila qsat inafungua channel inayojisikia yeye kufungua. Hili tatizo limegundulika saa 8 mchana ya Tanzania ambayo ni sawa na saa 3 usiku China kwa hiyo hakuna marekebisho usiku ila kesho itarudi hewani Qsat model zote na tutaendelea kufurahia huduma. Kwa sasa muwe wavumilivu.

      Delete
    2. tatizo lipo ktk model zote za QSAT sio Q11 tu bali na nyengine zote

      Delete
    3. tuna bahati kwa tuliobahatika kuhudumiwa na vijiserver vidogo vidogo maana kwangu haijakata hata sekunde; kwa mujibu wa tulivyoambiwa na reseller ni kwamba yenye shida ni main server iliyopo korea... mkuu munjy chonde chonde usinibadilishie ser

      Delete
    4. tatizo sio modem mkuu ni qsat wenyewe. qsat ambazo zinaonyesha kwa sasa ni zile zenye avatarcam code inayoanzia na 54xxxx na 56xxxx peke yake. wale wenye 55xxx, 57xxxxx 58xxxxx tuendelee kusubiria

      Delete
  92. hizi code nazionea wapi. mi naona kama kawa

    ReplyDelete
    Replies
    1. MENU>SETTING>XCAM SETUP>AvatarCamHD>green button (get active code)

      Delete
  93. Kwangu mimi bado maisha yangu na Qsat sina mbadala isipokuwa star tv pekee ndio inanikosesha raha sijui ndio wanataka kujitoa watuuzie hiyo conti'nento yao !!

    ReplyDelete
  94. Qsat zimerudi hewani kwa kasi ya ajabu

    ReplyDelete
  95. Munjy endelea mi nadhani Qsat 11G tuipigie kura ishinde award ya best dongle 2013. Ukweli inanipa raha na kunifanya nitembee kifua mbele.
    Haijawahi kukata na sijawahi kuongeza pesa wala kubadili line yangu ya Zantel huu ni mwezi wa tatu sasa,

    ReplyDelete
  96. Kwa sasa Qsat imerudi hewani kwa kasi bila kuganfa

    ReplyDelete
  97. Qsat imerudi kwa kasi ya ajabu, haigandi hata kidogo

    ReplyDelete
  98. Some how channel zimerudi kawaida isipokuwa hizi ss1 mpaka ss9 ni ss2 na ss7 tu zinaonekana let us be partient

    ReplyDelete
  99. Munjy1. Usiniban, mimi ni mdau muhimu. Baada ya hapo ni waupdate wale waliokuwa wanatumia sljazeera sports kwamba wamepunuguza signal ila wenye madish ya inch 8 na kuendelea wanazipata channel kupiyia Badr 28 frequency 12382 na 12341 symbol rate 27500. Kuanzia 1.1.2014 Aljazeera sports wamebadili jina wanajulikana kama beIN Sports.

    ReplyDelete
  100. Yangu Q11 inagonga poa tu nusu saa hujaona ikiganda. Nilikuwa naombea G6 tu iongezewe channels tu.

    ReplyDelete
  101. Qsat kwa upya HD channels hewani

    ReplyDelete
  102. leo kidogo qsat kuna afadhali si mbaya hali ni shwari kwa sasa hadi swahili hewani kbc nayo nimeicheki asant munjy1

    ReplyDelete
  103. Leo naona Qsat na G6 ziko likizo kidogo?

    ReplyDelete
  104. G6 ipo pouwa sana, sebuleni nimefunga Q11, chumbani G6, yaani mwendo mdundo, mpaka raha ila munjy1 unasababisha tuchelewe makazini

    ReplyDelete
  105. Nimepata msg kuwa servers ziko poa, channels zimerudi kwa kupata zaidi pia inatakiwa kuUpdate. So mi update ya Q11 nilisha ifanya je kutokana na matatizo yaliyo tokea nitahitahika tena kuUpdate?

    ReplyDelete
  106. Munjy Hoyeeee Zidumu mbinu sahiihi za Munjy

    ReplyDelete

Tafadhali comment kwa kutumia lugha ya kistaarabu au utafanya wengine washindwe kucomment maana itabidi nibadili privacy ya hii blog na itakuwa sio lengo maana lengo ni kusaidiana na sio kupondana.